1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nkurunziza alihutubia taifa

21 Agosti 2019

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amelihutubia taifa lake katika kuadhimisha miaka minne tangu alipochaguliwa kuongoza muhula wa tatu, akijisifu namna alivyotekeleza malengo makuu ya muhula huo. Lakini wakati akisema hali ya kiusalama imeboreka, kiongozi wa uoinzani Agathon Rwasa amesema hali ni ya kukatisha tamaa.

https://p.dw.com/p/3OHct