1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Njia ipi bora ya kuwainua wasanii wakongwe?

Amina Mjahid
19 Oktoba 2020

Wasanii wakongwe wana kilio chao. Baadhi yao maradhi yamewaandama na hawaoni faida ya kazi kubwa ya kutoa burudani waliyoifanya kwa miaka mingi. Wengi wanalalamika kuwa kazi zao zinatumika lakini hakuna kinachoingia mifukoni. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3k8uQ