Nini tafsiri ya mabadiliko yaliyoidhinishwa na Kamati Kuu ya CCM? | Matukio ya Afrika | DW | 14.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Nini tafsiri ya mabadiliko yaliyoidhinishwa na Kamati Kuu ya CCM?

Chama tawala nchini Tanzania (CCM) kimepunguza idadi ya wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu katika juhudi za kupunguza matumizi

Sikiliza sauti 02:20

CCM yapunguza wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kinachotawala nchini Tanzania, kimeazimia kupunguza idadi ya wajumbe wa kamati hiyo kutoka 34 hadi 24, na wajumbe wa Halmashauri Kuu kutoka 388 to 158. Nini tafsiri ya mabadiliko haya chini ya uongozi wa mwenyekiti mpya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli? Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania, Jenerali Ulimwengu. Sikiliza mahojiano hapa.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada