Nini chanzo cha mizozo ya kisiasa Italia? | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Nini chanzo cha mizozo ya kisiasa Italia?

Italia inazongwa na mzozo mwingine wa kisiasa kufuatia hatua ya waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu Matteo Salvini kukiondoa chama chake cha siasa kali za mrengo wa kulia cha League, kutoka serikali ya muungano. Kufahamu zaidi kuhusu hali hii TAtu Karema anazungumza na, Abdallah Mzee, mchambuzi wa siasa kutoka mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.

Sikiliza sauti 03:09