1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini bado changamoto ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi?

Rashid Chilumba3 Desemba 2020

Wito wa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wa kupunguza zaidi uzalishaji wa gesi chafu umedhihirisha ilivyo vigumu kwa ulimwengu kushikama katika kudhibiti mabadiliko ya tabianchi, wakati Umoja huo ukisema muongo mmoja uliopita umekabiliwa na athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi. Rashid Chilumba alizungumza na Rebeca Mun, Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Madiliko ya Tabianchi.

https://p.dw.com/p/3mBgP