Nigeria: Vijana wanaoshindana na Google | Afrika yasonga mbele | DW | 03.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Nigeria: Vijana wanaoshindana na Google

Osine Ikhianosime na Anesi Ikhianosime wameamsha matumaini katika mustakabali wa Nigeria kwa kuyajumuisha majina yao katika orodha ya watengenezaji wa App. Wameunda App ya simu ambayo tayari inatumika kimataifa

Tazama vidio 03:02

Nigeria: Vijana wanaoshindana na Google

Osine Ikhianosime mwenye umri wa miaka 13 na Anesi Ikhianosime mwenye umri wa miaka 15 ambao walitengeneza kwa pamoja 'Crocodile Browser Lite' ni kaka wawili ambao wako katika mwaka wa tisa na 11 katika Shule ya Greensprings, Antony Campus mjini Lagos.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com