Niger: kituo cha redio chapigania haki za jamii | Mada zote | DW | 05.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Niger: kituo cha redio chapigania haki za jamii

Chatou Mahamadou huapa watu waishio mjini Niamey na maeneo ya karibu fursa ya kuzungumza. Mwanaharakati huyo wa haki za binadamu kutoka Niger anafanya kazi katika 'Jukwaa la Umma'', asasi ya kiraia inayoendesha kituo cha redio. Mahamadou hutumia fursa kuzungumzia mambo anayotaka yabadilike, na kuishinikiza serikali.

Tazama vidio 03:19
Sasa moja kwa moja
dakika (0)