1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Ngoma za asili zatoweka Zanzibar

Mohammed Khelef
26 Julai 2018

Utamaduni ni utambulisho na ngoma ni miongoni mwa yanayowatambulisha watu wenye utamaduni wao, lakini visiwa maarufu vya Zanzibar kwenye Bahari ya Hindi vinatajwa kuwa hatarini kupoteza utambulisho wake kwenye ngoma za asili. Je, ni kwa sababu gani? Salma Said anatathmini kuporomoka huko kwa utamaduni huo mkongwe na juhudi za kuunusuru.

https://p.dw.com/p/3285p