1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NEW YORK:Bloomberg ajitoa Republican

20 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBq9

Meya wa New York Michael Bloomberg amejitoa kwenye chama cha Republican nchini Marekani.

Hatahivyo meya Bloomberg hakutaka kusema chochote juu ya uvumi kwamba anataka kugombea wadhifa wa rais kama mgombea huru katika uchaguzi utakaofanyika mwakani nchini Marekani.