NEW YORK:Baraza la Usalama kujadili mashambulio ya Darfur | Habari za Ulimwengu | DW | 06.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK:Baraza la Usalama kujadili mashambulio ya Darfur

Muungano wa wanaharakati wa kimataifa umeitisha mkutano wa dharura na baraza la usalama la umoja wa matiafa kujadili mashambulio yanayozidi kuendelea katika jimbo la Darfur nchini Sudan.

Mkutano huo pia utajadili hali inayosababisha kucheleweshwa kupelekwa kikosi cha kulinda amani cha umoja wa mataifa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com