1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Netanyahu ataka mwanajeshi aliyehukumiwa asamehewe

Sylvia Mwehozi
5 Januari 2017

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ataka mwanajeshi Elor Azaria aliyehukumiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia kusamehewa. Polisi wa Berlin wamemkamata rafiki wa mshambuliaji Anis Amri baada ya kufanya msako katika jengo linalotumiwa na wakimbizi. Na Robert Marchand mwenye miaka 105 raia wa Ufaransa ameweka rekodi mpya katika mbio za baiskeli. Papo kwa Papo 05.01.2017

https://p.dw.com/p/2VLdC