1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Netanyahu aahirisha mkutano wake na Gabriel

Yusra Buwayhid
25 Aprili 2017

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aahirisha mkutano wake na Sigmar Gabriel waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani. Umoja wa Kimataifa kuikusanyia Yemen euro bilioni mbili kwa ajili ya misaada ya kiutu. Na mwanaharakati wa haki za wanawake Uganda Stella Nyanzi afikishwa mahakamani leo kwa shutuma za kumkashifu Rais Yoweri Museveni.

https://p.dw.com/p/2btvn