1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ndayishimiye aizuru Tanzania

22 Oktoba 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tanzania inaridhishwa na uhusiano mzuri wa kidugu uliopo na nchi ya Burundi na kwamba itaendeleza uhusiano wake wa miaka mingi na jirani wake huyo katika nyanja mbali mbali. Ameyasema hayo kuhusiana na ziara ya Rais Burundi Evariste Ndayishimiye aliyoianza leo nchini Tanzania. Isikilize ripoti ya Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/4243G