1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Washambuliaji huwauwa watu usiku kwa kuwakata kwa mapanga

Saumu Mwasimba
3 Septemba 2021

Yaliyomo katika Afrika wiki hii ni pamoja na mauaji ya kutisha yanavyowatia hofu Waganda huko Greater Masaka,na Muungano mpya wa kisiasa kwa jina ''Muungano wa Wazalendo'' kuelekea uchaguzi mkuu huko Kenya waundwa rasmi na maambukizi ya virusi vya Corona nchini Burundi yaongezeka licha ya serikali kushindwa kutoa takwimu.Jiunge na Saumu Mwasimba katika makala hiyo.

https://p.dw.com/p/3ztCE