1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Putin aanza muhula mpya kwa kishindo

Daniel Gakuba
19 Machi 2018

Rais Vladimir Putin amechaguliwa tena kuiongoza Urusi kwa muhula mwingine wa miaka 6. China na Iran tayari zimekwishamtumia salamu za pongezi, lakini nchi za Magharibi bado zinasitasita. Putin amekuwa mtu mwenye nguvu zaidi katika siasa za Urusi kwa takriban miongo miwili sasa.

https://p.dw.com/p/2uazh