1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya al-Shabaab vyapingwa

Josephine Tatu Karema30 Agosti 2019

Wanachama sita wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelipinga pendekezo la kulijumuisha kundi la kigaidi la al- Shabaab nchini Somalia katika orodha ya makundi yaliyo chini ya vikwazo vya kimataifa. Wasomalia wanaoishi katika maeneo yanayodhibitiwa na Al-Shabaab wangekosa misaada ya kiutu. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Herman Manyora anafananua zaidi katika mahojiano haya.

https://p.dw.com/p/3OkRM