1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Kaunti ya Kilifi ni mojawapo inayoongoza kwenye visa vya dhulma za kimapenzi kwa watoto

Fathiya Omar (HON)7 Machi 2019

Nchini Kenya, hasa mkoa wa Pwani, Kaunti ya Kilifi inatajwa kuwa mojawapo inayoongoza kwenye visa vya dhulma za kimapenzi kwa watoto, mimba za utotoni na ndoa za mapema. Licha ya kampeni za kijamii, bado visa vya watoto kunyanyaswa kingono vinaendelea kuongezeka katika kaunti hiyo.

https://p.dw.com/p/3EXHi