1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NASA yapanga kumuapisha Raila 30.01.2018

Grace Kabogo
29 Januari 2018

Muungano wa upinzani Kenya, NASA unasisitiza utamuapisha Raila Odinga kuwa Rais wa wananchi katika bustani ya Uhuru kesho. Hayo ni licha ya polisi kutangaza hawataruhusu hafla hiyo kufanyika katika bustani hiyo kutokana na wasiwasi kwamba itasababisha vurugu na kukiuka sheria za nchi. Caro Robi amezungumza na afisa mkuu mtendaji wa NASA, Norman Magaya, kufahamu watafanyia wapi sherehe hiyo.

https://p.dw.com/p/2rgwa