Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi? | Tabia ya Nchi | DW | 02.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tabia ya Nchi

Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi?

Wakati viongozi wa dunia wakijadiliana kwenye mkutano wa tabia ya nchi huko Paris, swali la gharama laonekana kuwa tete. Kipindi cha Mtu na Mazingira kinauangazia mvutano uliopo kati ya mataifa tofauti.

Sikiliza sauti 09:43

Sikiliza kipindi cha Mtu na Mazingira

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com