Nairobi: Westgate Mall lafunguliwa upya | Matukio ya Afrika | DW | 18.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Nairobi: Westgate Mall lafunguliwa upya

Ufunguzi rasmi wa jengo la kibiashara la Westgate jijini Nairobi ambalo lilishambuliwa na wanamgambo wa Al Shaabab Septemba mwaka 2013 na kusababisha kuuliwa kwa watu takribani 67, umefanyika leo.

default

Jengo la Westgate Mall jijini Nairobi

Jumba la maduka la Westgate lililoko mtaa wa Westlands mjini Nairobi limefunguliwa rasmi.Takribani miaka miwili tangu shambulizi hilo, yapo maswali mengi ambayo hayajapata majibu. Geoffrey Mung'ou amezungumza na mchambuzi wa masuala ya usalama nchini Kenya, Mwenda Mbijiwa na kwanza alimuuuliza je, kufunguliwa upya kwa jengo hilo kunamaanisha nini?

Mwandishi: Geoffrey Mung'ou
Mhariri: Iddy Sesseanga

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com