NAIROBI: Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuondoshwa Somalia | Habari za Ulimwengu | DW | 13.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuondoshwa Somalia

Umoja wa Mataifa unawahamisha wafanyakazi wake wa kigeni nchini Somalia kwa sababu za usalama.Kwa mujibu wa msemaji wa Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Kenya,Nairobi-kumetolewa vitisho vya kuwaua wafanyakazi hao.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com