NAIROBI: Mwanamke kugombea uchaguzi wa rais Kenya | Habari za Ulimwengu | DW | 16.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Mwanamke kugombea uchaguzi wa rais Kenya

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya imewaruhusu wagombea 9 kushiriki katika uchaguzi wa rais utakaofanywa Desemba 27.

Mwanamke mmoja ni miongoni mwao.Wagombea wengine 4 wamekataliwa.Mbali na Rais Kibaki hata waziri wa nje wa zamani Musyoka na kiongozi wa upinzani Odinga watagombea uchaguzi huo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com