1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI: Meli yatekwa nyara Pembe ya Afrika

29 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7Be

Maharamia wa Kisomali wameteka nyara meli ya Kijapani katika Pembe ya Afrika.Mkuu wa Mradi wa Misaada ya Mabaharia-Afrika ya Mashariki,bwana Andrew Mwangura amesema,amearifiwa na duru za Somalia na Japani kuwa meli imetekwa nyara nje ya pwani ya Pembe ya Afrika.