Nafasi za ajira kwa wahamiaji wanaorudi Guinea | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 30.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Nafasi za ajira kwa wahamiaji wanaorudi Guinea

Changamoto mbalimbali husababisha vijana wengi kujaribu safari hatari kutoka nchi hii ya Afrika magharibi kujaribu kuhamia Ulaya kutafuta maisha mema. Wale ambao hulazimika kurudi hukumbwa na changamoto ya kujenga upya maisha yao.

Tazama vidio 03:39
Sasa moja kwa moja
dakika (0)