1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya machifu ingalipo Afrika?

Prosper Kwigize10 Januari 2020

Kwenye makala ya Utamaduni na Sanaa, tunaangazia nafasi ya machifu katika mfumo wa utawala wa serikali za mitaa, tukiangazia Tanzania kama mfano. Je machifu wana hadhi gani katika mfumo wa sasa wa utawala? Je hali ilikuwa vipi katika mifumo ya zamani hata kabla ya ukoloni? Prosper Kwigize na mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/3W05T