NABLUS: Vifaru vya Israel vimeingia mji wa Wapalestina | Habari za Ulimwengu | DW | 25.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NABLUS: Vifaru vya Israel vimeingia mji wa Wapalestina

Wanajeshi wa Kiisraeli wakiwa katika vifaru na magari ya kijeshi wameingia mji wa Wapalestina wa Nablus ulio katika Ukingo wa Magharibi na wakazi wameamriwa kutotoka majumbani mwao.Kwa mujibu wa jeshi la Israel,hatua hiyo imechukuliwa baada ya kugundua maabara ya miripuko katika mji huo na polisi kufyatuliwa risasi katika sehemu mbali mbali za mji.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com