NÜRNBERG: Wakosa ajira wapunguka Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 28.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NÜRNBERG: Wakosa ajira wapunguka Ujerumani

Nchini Ujerumani,idadi ya watu wasio na ajira katika mwezi huu wa Septemba,imepunguka hadi kufikia milioni tatu na nusu.Kwa mujibu wa Shirika la Ajira la Ujerumani,hiyo ni asilimia 8.4 kulinganishwa na 8.8 katika mwezi wa Agosti.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com