NÜRENBERG: Idadi ya wakosa ajira yapunguka Ujerumani | Habari za Ulimwengu | DW | 01.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NÜRENBERG: Idadi ya wakosa ajira yapunguka Ujerumani

Idadi ya watu wanaotafuta ajira nchini Ujerumani imepunguka hadi kufikia kiwango cha chini kabisa tangu miaka mitano iliyopita.Takwimu zilizotolewa na Idara ya Ajira ya Ujerumani mjini Nürenberg, huonyesha kuwa mwezi wa Mei,watu waliokosa ajira ni milioni 3.8 yaani ni asilimia 9.1 kulinganishwa na asilimia 11 katika mwezi kama huo mwaka uliopita.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com