1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mödlareuth, alama ya Ujerumani iliyotengana

Sudi Mnette
8 Novemba 2019

Takribani miaka 30 tangu kuangushwa kwa ukuta uliozigawa Ujerumani Mashariki na Magharibi, bado kijiji cha Mödlareuth chenye wakazi 47 kinatenganishwa kiutawala, huku upande mmoja jimbo la Bavaria na mwingine Thuringia.

https://p.dw.com/p/3SfUj