1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo kuhusu makubaliano mapya ya kibiashara

Jane Nyingi7 Novemba 2007

Bado kuna wasiwasi wa kufanikiwa kwa makubaliano mapya ya ushirikiano wa kibiashara kati ya Umoja wa ulaya na mataifa ya Africa, carribean na Pacific baada ya baadhi ya mataifa kutoa vikwazo. Mataifa hayo yataka kupewa muda wa mpito wa miaka 25 ili kuruhusu bidhaa kutoka bara ulaya zinazoingia nchini mwao kutotozwa ushuru.

https://p.dw.com/p/C7f2
Mwandishi wetu Jane Nyingi alizungumza na waziri wa biashara na viwanda nchini Kenya Mukhisa kituyi ambaye aliteuliwa na umoja wa ulaya kuongoza mashauri hayo miongoni mwa mataifa ya mashariki na kusini mwa Afrika na kwanza alianza kwa kueleza msimamo wao ni upi kuhusu makubaliano hayo mapya ya kibiashara.