Virusi vya corona vimeutikisa ulimwengu mzima. Namna pekee ya kujiepusha na maambukizi yake yanayosababisha maradhi ya kupumua ya COVID-19 ni kuchukua tahadhari kadhaa zinazosisitizwa kila kona ya dunia. Angalia mwitiko wa wananchi wa Uganda katika maeneo mbalimbali ya umma.