1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwathiriwa wa unajisi aliyejigeuza mwanaharakati DRC

30 Oktoba 2019

Dhuluma za kingono ni tatizo ambalo linaendelea kuenea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ubakaji bado ni mada ambayo hutizamwa kama mwiko kwa hivyo waathiriwa huhangaika kupata usaidizi. Lakini Emmanuella Zandi anataka kubadilisha hilo kwa kuzungumzia kisa chake na kutafuta suluhisho la kuwahamasisha wanawake na wasichana.

https://p.dw.com/p/3SDQr