Mwangaza wa Ulaya : Bomba la Nord Stream 2 lakamilika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 25.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mwangaza wa Ulaya : Bomba la Nord Stream 2 lakamilika

Makala ya Mwangaza wa Ulaya inamulika kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Urusi hadi Ujerumani licha ya upinzani mkali ulioliandama bomba hilo maarufu kama Nord-Stream 2, hususan kutoka Marekani na Ukraine.

Sikiliza sauti 09:47