Mwandishi Chipukizi kuhusu Mazingira - Tanzania | Anza | DW | 26.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mwandishi Chipukizi kuhusu Mazingira - Tanzania

Katika mji wa Mwanza nchini Tanzania, Getrude Clement na wenzake wanacho kipindi cha redio cha Kila wiki, ambamo wanahamasisha vijana wenzao na jamii kwa ujumla kuwa rafiki wa mazingira, kwa kuyatunza na kuyasafisha. Vijana hao wana matumaini ya kubadilisha fikra za jamii kuhusu mazingira yao.

Tazama vidio 03:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)