Mwanasoka Kingsley Ehizibue: ′Bila shaka ubaguzi wa rangi huniathiri′ | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mwanasoka Kingsley Ehizibue: 'Bila shaka ubaguzi wa rangi huniathiri'

Katika mahojiano ya kipekee na Bruce Amani wa DW, Kingsley Ehizibue mwanasoka anayechezea klabu ya FC Cologne katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, na ambaye mizizi yake ni Uholanzi na Nigeria, anasimulia safari yake katika ulimwengu wa soka na jinsi gani ameweza kushinda changamoto anapokumbana na ubaguzi wa rangi.

Tazama vidio 06:07