Mwanasiasa mkongwe Nassoro Moyo azungumzia uchaguzi Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mwanasiasa mkongwe Nassoro Moyo azungumzia uchaguzi Zanzibar

Nassoro Moyo, mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania na muasisi wa siasa za maridhiano Zanzibar, ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Mapinduzi (CCM) alichoshiriki kukianzisha 5 Februari 1977, amezungumza na DW.

Sikiliza sauti 04:56

Mahojiano ya Salma Saidi na Hassan Nassoro Moyo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com