1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanasiasa chipukizi wa kutoka Zambia

Sylvia Mwehozi
18 Juni 2019

Barani Afrika vijana wa kike wanaendelea kupenya katika siasa na biashara. Baada ya Mali na Botswana kuwachagua vijana wa kike kuwa mawaziri mwaka 2018, wengi waliona kama ushindi. Kutana na mwanasiasa chipukizi kutoka Zambia anayekusudia kuleta mabadiliko nchini mwake. Vijana Mubashara.

https://p.dw.com/p/3Kd85