1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Mwanamzuki Snaa arejea tena katika fani

Sudi Mnette
4 Mei 2018

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania ambae alijiweka pembeni katika tasnia ya muziki arejea tena baada ya miaka 10 ya kujiweka chonjo na fani hiyo. Zaidi kuhusu mwanamuziki huyo mwenye maskani yake mjini Kassel nchini Ujerumani sikiliza kipindi karibuni.

https://p.dw.com/p/2x9kO