Mwanamke anayesimulia historia ya nchi yake kwa sanaa | Media Center | DW | 18.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mwanamke anayesimulia historia ya nchi yake kwa sanaa

Dessie Kamkosera ni mwanamke mwenye umri wa miaka 78, umri ambao kwa wengi hawawezi tena kujishughulisha na chochote. Lakini moyo wa usanii ndani yake unamfanya asiweze kutulia na badala yake atumie michoro kutunza historia ya nchi yake ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Tazama vidio 03:15