1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke anapofanya kazi za kiume

5 Oktoba 2011

Katika ulimwengu wa sasa mipaka ya kikazi baina ya mwanamke na mwanamme imeanza kufutika, ambapo hivi sasa wanawake wanafanya zile kazi ambazo zamani zilichukuliwa kuwa haziwezi kufanywa isipokuwa na wanaume peke yao.

https://p.dw.com/p/RpHL
Mwanamke kwenye kazi za kiume?
Mwanamke kwenye kazi za kiume?Picha: DW

Hamida Issa anazungumzia namna ambavyo mjengeko wa kijamii na kitamaduni unabadilika kutokana na shinikizo la kiuchumi na mahitaji ya wakati.

Mtayarishaji/Msimulizi: Hamida Issa
Mhariri: Othman Miraji