Mwanamke anachukuliwaje kwenye miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika? | Masuala ya Jamii | DW | 14.07.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mwanamke anachukuliwaje kwenye miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika?

Tanganyika ilipata uhuru wake mwaka 1961 kutoka kwa Waingereza na baadaye kujiunga na Zanzibar mwaka 1964 kuunda Muungano wa Tanzania, lakini nafasi ya mwanamke katika mapambano ya uhuru huo haitajwi sana.

Mfuasi wa chama tawala nchini Tanzania, CCM

Mfuasi wa chama tawala nchini Tanzania, CCM

Hawra Shamte anaangalia taswira na nafasi ya mwanamke kutoka harakati za uhuru wa Tanganyika hadi kuundwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mtayarishaji: Hawra Shamte
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com