Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan | Afrika yasonga mbele | DW | 03.12.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan

B. Delagneau ni mwanamazingira aliye katika kampeni. Alianzisha jitihada za kuboresha hali ya hewa mjini Abidjan, mji ambao umekuwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na kukatwa miti ovyo na wingi wa magari chakavu

Tazama vidio 03:11

Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com