Mwanajeshi Korea Kaskazini akitoroka | Media Center | DW | 22.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mwanajeshi Korea Kaskazini akitoroka

Umoja wa Mataifa umetoa vidio inayoonesha mwanajeshi wa Korea ya Kaskazini akitorokea katika eneo la mpaka wa taifa hilo na Korea Kusini. Kafyatuliwa risasi tano lakini alinusurika. Zaidi tazama vidio.

Tazama vidio 00:56
Sasa moja kwa moja
dakika (0)