Mwanadiplomasia wa Marekani kukagua kinu cha nuklia Pyongyang | Habari za Ulimwengu | DW | 03.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Mwanadiplomasia wa Marekani kukagua kinu cha nuklia Pyongyang

SEOUL.Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani katika mzozo wa nuklia wa Korea Kaskazini anaelekea nchini humo kukagua kazi inayoendelea ya kufunga kinu kikubwa cha nuklia.

Ubalozi wa Marekani mjini Seoul Korea Kusini umesema kuwa mwanadiplomasia huyo Christopher Hill anatarajiwa kukagua kazi ya kukifunga kinu cha Yongbong kilichoko kaskazini mwa mji mkuu wa Korea Kaskazini Pyongyang.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com