Mwanablogu apigania uhuru wa kujieleza Guinea | Media Center | DW | 13.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mwanablogu apigania uhuru wa kujieleza Guinea

Mwanablogu Sally Bilaly anafichua masuala ambayo vyombo vya habari haviwezi kuyazungumzia nchini mwake Guinea. Sally mwenye miaka 25 ameanzisha pia mradi wa "Villageois 2.0" blogu ambayo haiwapi tu vijana wa Guinea jukwaa la mtandao kuyajadili mawazo yao, lakini pia inataka uwazi kutoka kwa utawala ukizingatia na ufujaji wa pesa za umma.

Tazama vidio 01:18
Sasa moja kwa moja
dakika (0)