Mwaka 2020 Afrika yapania kumaliza vita barani humo | Matukio ya Afrika | DW | 24.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mwaka 2020 Afrika yapania kumaliza vita barani humo

Viongozi wa Afrika wapania kunyamazisha milio ya risasi kabisa katika bara lao na kuelekeza juhudi za kutafuta maendeleo makubwa zaidi na amani ya kudumu katika agenda ya mwaka 2063.Viongozi wa Umoja wa Afrika wanaamini inawezekana lakini wachambuzi wana mashaka. Je Afrika ina nafasi gani kuelekea kufanikiwa kwa azimio lao?Sikiliza Makala yetu leo .

Sikiliza sauti 09:44