Mvua zasababisha maafa Dar | Media Center | DW | 16.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mvua zasababisha maafa Dar

Watu tisa wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mvua zinazoendelea kulikumba jiji la Dar es Salaam. Hali ni mbaya hasa kwa wakaazi wa mambondeni, ambako nyumba zaidi ya 300 zinaripotiwa kusomba na mafuriko ya mvua hizo.

Tazama vidio 01:53
Sasa moja kwa moja
dakika (0)