Mvua za Dar es salaam na athari zake | Masuala ya Jamii | DW | 18.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mvua za Dar es salaam na athari zake

Ni lini adha hii ya athari za mvua jijini Dar es salaam itatatuliwa? Picha hizi zimepigwa katika maeneo ya bonde la Msimbazi jijini Dar es salaam. Kama mkazi wa jijini unadhani upi ni mwarobaini wa tatizo hilo? Kurunzi

Tazama vidio 01:35