1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki maarufu wa Kiswahili nchini Kenya

Samia Othman25 Juni 2010

Mwezi uliopita wa Mei, katika chuo kikuu cha Bayreuth, kilioko Kusini mwa hapa Ujerumani, kulifanyika kongamano la kimataifa la Lugha ya Kiswahili.

https://p.dw.com/p/O39e

Mmoja kati ya wataalamu waliotoa mada ni Bwana Tobias Mulwoni Shikuku, mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Masinde Muliro, nchini Kenya. Makala alioiwasilisha ilikuwa na kichwa cha maneno: Muziki wa kiswahili unaopendwa kama chombo cha kuwazindua wananchi juu ya masuala ya wakati nchini Kenya. Haya hapa madondoo ya yale aliyoyazungumza: