1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki kama chombo cha kupigania demokrasia Guinea

John Juma
21 Machi 2018

Masta X anaimbia kundi la upinzani kwa jina Audace-Audacity. Yeye ni maarufu nchini Guinea, anatumia ushawishi wake kufanikisha malengo ya kisiasa. Anaimba dhidi ya ghasia huku akihimiza utangamano wa kisiasa wenye amani

https://p.dw.com/p/2ujHE